Ukatili wa kijinsia mitandaoni
Mandhari
Ukatili wa kijinsia mitandaoni ni unyanyasaji na ubaguzi dhidi ya watu kupitia teknolojia, nao ufanana na unyanyasaji wa mitandaoni.
Ukatili wa kijinsia ni tofauti na ukatili wa kijinsia mitandaoni kwa sababu ya umakini uliopo kwa wanawake. Ukatili wa kijinsia mitandaoni unahusisha maneno ya ngono yasiyotakiwa, kutuma picha za ngono katika vyombo vya habari bila ridhaa.
Ukatili wa kijinsia mitandaoni unatokana na ukatili wa kijinsia ila unatofautiana kwa kufanywa kupitia njia za kielektroniki.
Makundi maalumu ni pamoja na mashoga na kadhalika. Ukatili wa kijinsia mitandaoni unaweza kutokea kwa njia nyingi ikiwemo kusambaa kwa taarifa na picha za uchi.
Tangu kuanzishwa kwa mitandao, ukatili wa kijinsia mitandaoni umeongezeka kwa kasi.