Uchenna Kanu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Uchenna Kanu
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji wa mpira wa miguu
Uchenna Grace Kanu

Uchenna Grace Kanu (alizaliwa 20 Juni 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambaye anacheza kama mshambuliaji kwenye klabu ya MX Femenil na klabu ya Tigres UANL na timu ya taifa ya Nigeria.[1][2]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Kanu aliiwakilisha Nigeria katika Kombe la Dunia la FIFA chini ya umri wa miaka 17 mwaka 2014 na Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA chini ya umri wa miaka 20. Alicheza mechi yake ya kwanza ya kirafiki tarehe 8 Aprili 2019 dhidi ya Canada na kufungwa mabao 2-1.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Uchenna Grace Kanu". Liga MX Femenil (kwa Spanish). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-03-22. Iliwekwa mnamo 11 January 2022.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Uchenna Kanu – 2018 Women's Soccer – Southeastern University". Southeastern University Athletics. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uchenna Kanu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.