Ubadilishaji data

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Umbizo tofauti wa jalada ya sauti (mp3, wav, wmv...)

Katika utarakilishi, uongofu data (kwa Kiingereza: data conversion) ni kitendo cha kubadilisha umbizo wa data ya tarakilishi kutoka umbizo mmoja hadi mwingine. Kwa mfano, uongofu data kutoka JPEG hadi PNG kwenye picha.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.