Umbizo jalada
Katika utarakilishi, umbizo jalada (kwa Kiingereza: File format) ni mwendo wa data zinazochanganuliwa ili kutunzwa katika jalada. Umbizo jalada linaonyesha muundo wa biti katika kifaa cha kutunzia. Kwa mfano, AAC, MP3, MP3Pro, Ogg-Vorbis, RealAudio, Speex, VQF, WMA, MIDI, DIVX, MPEG1, MPEG2, MPEG4, Ogg-Tarkin, Ogg-Theora au VP3 ni maumbizo jalada.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).