Tuzo za Muziki za MTV Afrika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tuzo za muziki za MTV Afrika

Tuzo za Muziki za MTV Afrika (Pia inajulikana kama Tuzo za MAMA) Ilianzishwa mnamo mwaka 2008 na (MTV Networks Africa) sasa inajulikana kama (Viacom International Media Networks Africa) kwa ajili ya kusherehekea muziki maarufu wa kisasa barani Afrika. Matukio ya mwaka 2008 na 2010 yalifanyika nchini Nigeria, kwanza huko Abuja na kisha Lagos. Tukio la mwaka 2009 lilitokea Nairobi, mji mkuu wa Kenya kila moja ya tuzo za kwanza zilizoundwa na Mtendaji zilitayarishwa na Alex Okosi na Jandre Louw.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]