Tottenham Hotspur Stadium
Mandhari
Tottenham Hotspur Stadium (kwa jina lingine: New White Hart Lane) ni uwanja wa mpira wa miguu wa Tottenham Hotspur F.C. Una uwezo wa kupokea watu 62,062 ambao unaufanya uwe uwanja mkubwa kuliko yote Ligi Kuu Uingereza na London.
Uwanja ulitumika kwa mara ya kwanza Aprili 3 katika mechi ya Ligi Kuu Uingereza (EPL).
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Tottenham Hotspur Stadium kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |