Tony Martin (mkulima)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anthony Edward Martin (alizaliwa 16 Desemba 1944) ni mkulima kutoka Norfolk, Uingereza, ambaye alimpiga risasi mwizi na kumuua nyumbani kwake mnamo Agosti 1999. Alikuwa na haki ya kulinda nyumba yake.

Hata hivyo, baadhi ya watu walitilia shaka kwa kusema kwamba hakuwa na cheti halali cha kumiliki  silaha. Martin alipatikana na hatia ya mauaji,  na akatumikia kifungo cha miaka mitatu , baada ya kunyimwa msamaha.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tony Martin (mkulima) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.