Timu ya Taifa ya Kandanda ya Ujerumani
Mandhari
(Elekezwa kutoka Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Ujerumani)
Timu ya soka ya taifa ya Ujerumani ni timu ya soka au mpira wa miguu ambayo imewakilisha Ujerumani katika mashindano ya kimataifa tangu mwaka 1908.
Timu hii inaongozwa na Chama cha Soka cha Ujerumani, kilianzishwa rasmi mwaka 1900. Mwishoni mwa Kombe la Dunia la FIFA la mwaka 2014, Ujerumani ilipata kiwango cha juu zaidi cha Elo cha timu yoyote ya soka ya kitaifa katika historia na pointi 2205.
Ujerumani pia ni taifa pekee la Ulaya ambalo lilishinda Kombe la Dunia la FIFA katika Amerika. Meneja wa timu ya taifa ya Ujerumani ni Joachim Löw.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Official website by DFB
- Germany at UEFA
- Germany Ilihifadhiwa 28 Agosti 2018 kwenye Wayback Machine. at FIFA
- Matches results by RSSSF
- Most capped players by RSSSF
- Reports for all official matches by eu-football