Nenda kwa yaliyomo

Tiago Tomás

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tiago Barreiros de Melo Tomás (alizaliwa 16 Juni 2002)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ureno, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya VfL Wolfsburg inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ureno kwa walio chini ya miaka 21.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Tiago Tomás". Maisfutebol (kwa Kireno). Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tiago Tomás kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.