Thomas R. Berger

Thomas Rodney Berger ( 23 Machi 1933 – 28 Aprili 2021)[1] alikuwa mwanasiasa na mwanasheria wa Kanada. Alikuwa miongoni mwa waliokuwa Bunge la makabwela mwanzoni mwa miaka ya 1960 akiingia katika siasa za majimbo baada ya hapo. Aiongoza chama cha British Colombia New Democratic Party mnamo mwaka 1969. Baada ya kustaafu Berger aliendelea kutekeleza sheria na kuhudumu katika nyadhfa mbalimbali za umma. Alikuwa mwanachama wa Order of Canada na Order of British Columbia.[2]
Maisha ya awali na elimu
[hariri | hariri chanzo]Thomas Rodney Berger alizaliwa Machi 23, 1933, huko Victoria, British Columbia. Alikuwa mwana wa sajenti wa Royal Canadian Mounted Police Theodor Berger na Nettie Elsie Perle, aliyezaliwa McDonald.[2] Berger alipata Shahada ya Sanaa mnamo mwaka 1955 na Shahada ya Sheria kutoka Chuo Kikuu cha British Columbia manamo mwaka 1956
Machapisho
[hariri | hariri chanzo]- Berger, Thomas R. (Desemba 1969). "Canada ya Kiingereza na Mkutano wa Quebec na Uhuru". Alberta Law Review. 29 (4): 765–771. doi:10.29173/alr1531. ISSN 1925-8356.
- Ripoti ya Tume ya Kifalme kuhusu Sheria za Familia na Watoto (kwa English). Government of British Columbia. 1974. OCLC 1796712.
{{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link) - Berger, Thomas R. (1980). Ripoti ya Tume ya Ushauri juu ya Mashauriano ya Afya ya Waindio na Wainuit (kwa Kiingereza). Health and Welfare Canada.
- Berger, Thomas R. (1981). Uhuru Dhaifu: Haki za Binadamu na Upinzani nchini Kanada. Toronto: Clarke, Irwin & Company. ISBN 0-7720-1358-6. OCLC 8269916.[3][4][5]
- Berger, Thomas R. (1985). Safari ya Kijiji: Ripoti ya Tume ya Mapitio ya Wenyeji wa Alaska. New York: Farrar, Straus and Giroux. ISBN 0-8090-9624-2. OCLC 12342468.[6]
- Berger, Thomas R. (1988). Mpaka wa Kaskazini, Makazi ya Kaskazini: Ripoti ya Uchunguzi wa Bomba la Mackenzie Valley (tol. la iliyorekebishwa). Vancouver: Douglas & McIntyre. ISBN 0-88894-601-5. OCLC 17580053.
- Berger, Thomas R. (2002). Haki ya Mtu Mmoja: Maisha katika Sheria (kwa Kiingereza). Douglas & McIntyre. ISBN 978-1-55365-736-1.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Calder v British Columbia (Attorney General), [1973] SCR 313 Archived Machi 25, 2021, at the Wayback Machine
- ↑ Penton, M. James (Machi 1983). "Tathmini ya Fragile Freedoms". Studies in Religion/Sciences Religieuses (kwa Kiingereza). 12 (1): 106–107. doi:10.1177/000842988301200128. ISSN 0008-4298. S2CID 152098799.
- ↑ Brun, Henri (1982). "Tathmini ya Fragile Freedoms". Les Cahiers de droit (kwa Kifaransa). 23 (1): 251. doi:10.7202/042495ar. ISSN 0007-974X.
- ↑ Knopff, Rainer (Desemba 1982). "Tathmini ya Fragile Freedoms". Canadian Journal of Political Science (kwa Kiingereza). 15 (4): 826–827. doi:10.1017/S000842390005215X. ISSN 0008-4239. S2CID 154358721.
- ↑ Miles, Bill (2 Februari 1986). "Tathmini ya Village Journey". Los Angeles Times (kwa American English). Iliwekwa mnamo 30 Aprili 2021.