Thomas Mapfumo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Thomas Mapfumo (2011)

Thomas Tafirenyika Mapfumo ni mwanamuziki wa Zimbabwe. Alizaliwa 1945 huko Marondera, Zimbabwe. Anajulikana pia kama "Simba wa Zimbabwe" kutokana na mchango wake kisiasa nchini Zimbabwe. Nyimbo zake zilipinga ubaguzi wa rangi kabla ya uhuru na siasa za serikali ya Robert Mugabe baadaye. Alipaswa kuondoka Zimbabwe akiishi Marekani sasa. Anapiga muziki aina ya chimurenga.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thomas Mapfumo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.