The Writing's on the Wall
The Writing's on the Wall | |||||
---|---|---|---|---|---|
Kasha ya albamu ya The Writing's on the Wall.
|
|||||
Studio album ya Destiny's Child | |||||
Imetolewa | 27 Julai 1999 | ||||
Imerekodiwa | Oktoba 1998—Aprili 1999 | ||||
Aina | R&B, Contemporary R&B | ||||
Urefu | 66:21 | ||||
Lugha | Kiingereza | ||||
Lebo | Columbia | ||||
Mtayarishaji | Jovonn Alexander, Kevin "She'kspere" Briggs, D-Major, Chad "Dr. Cuess" Elliot, Missy Elliott, Donald Holmes, Anthony Hardy, Oshea Hunter, Rodney Jerkins, F-Fam, Beyoncé Knowles, Daryl Simmons, Platinum Status, Chris Stokes, Gerard Thomas, Dwayne Wiggins |
||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Destiny's Child | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya The Writing's on the Wall | |||||
|
The Writing's on the Wall ni albamu ya Destiny's Child iliyoshinda tuzo la Grammy Award. Ilitolewa na Columbia mnamo 27 Julai 1999 nchini Marekani. Albamu hii ilikuwa na single nne; Bills, Bills, Bills na Say My Name zilifika namba 1, na single ya Jumpin' Jumpin' ilikuwa kwenye chati ya Top 40.
Pindi albamu hii ilipotolewa, ilikuwa namba sita kwenye chati ya Billbaord 200mnamo 14 Agosti 1999, ikiwa na mauzo kwenye wiki ya kwanza ya nakala 132,000. Baadaye, ilifika namba 5, mnamo 6 Mei 2000. Destiny's Child walichaguliwa kwa tuzo sita za Grammy Award kutoka kwa albamu hii: Grammy Award for Best R&B Performance by a Duo or Group with Vocals (mara mbili), Grammy Award for Best R&B Song (mara mbili), Grammy Award for Record of the Year na Grammy Award for Song of the Year. Albamu hii ilithibitishwa 9x platinum na RIAA mnamo 6 Novemba 2001. Albamu hii imeuza zaidi ya nakala milioni 13 kote duniani, na zaidi ya nakala milioni 9 nchini Marekani.
Mafanikio
[hariri | hariri chanzo]Nchini Marekani, albgamu hii ilianza kwa #6 kwenye chati ya Billboard Hot 100 mnamo 14 Agosti 1999 na kuuza zaidi ya nakala 132,000 katika wiki yake ya kwanza. Ilibaki kwenye Top 20 kwa muda mrefu wa 1999 na ilikuwa imeuza zaidi ya nakala milioni 1.6 mwaka ulipoisha. Ilithibitishwa 2x platinum mnamo Januari 2000. Sinle ya "Say my Name" ilipotolewa takriban miezi tisa baadaye, albamu hii ilifika #5 kwenye Billboard Hot 100 mnamo 5 Mei 2000.Katika mwaka wake wa kwanza kwenye chati, ilikuwa kwenye chati kwa muda ya wiki 47 na ikauza nakala milioni 3.8. Albamu hii ilikaa kwa muda ya wiki 99 mfululizo kwenye Billboard 2oo na ilithibitishwa 8x platinum na Recording Industry Association of America mnamo 8 Novemba 2001 kwa kuuza zaidi ya nakala milioni 6.2 nchini Marekani.
Ilithibitishwa gold ama platinum kwenye nchi nyingi barani Ulaya. Nchini Canada, albamu hii ilifanikiwa kwa kuuza nakala 500,000 na kuthibitishwa 5x platinum. Ilithibitishwa 3x platinum nchini Uingereza, New Zealand na Australia. Albamu hii iliuza zaidi ya nakala milioni 14 kote duniani.
Nyimbo zake
[hariri | hariri chanzo]- "Intro (The Writing's on the Wall)" (Beyoncé Knowles, LaTavia Roberson, Kelly Rowland, LeToya Luckett) – 3:27
- "So Good" (Kevin "She'kspere" Briggs, Kandi Burruss, B. Knowles, L. Luckett, L. Roberson, K. Rowland) – 3:57 (Thou Shalt Not Hate)
- "Bills, Bills, Bills" (E. Phillips, Kandi, B. Knowles, L. Luckett, K. Rowland) – 4:26 (Thou shalt Pay Bills)
- "Confessions" (featuring Missy Elliott) (M. Elliott, D. Holmes, G. Thomas) – 3:46 (Thou Shalt Confess)
- "Bug a Boo" (K. Briggs, Kandi, B. Knowles, L. Luckett, L. Roberson, K. Rowland) – 4:07 (Thou Shalt not Bug)
- "Temptation" (Dwayne Wiggins, C. Wheeler, A. Ray, B. Knowles, K. Rowland, L. Luckett, L. Roberson) – 4:33 (Thou Shalt Not Give Into Temptation)
- "Now That She's Gone" (Chris Valentine D. Boynton, T. Geter, L. Simmons, A. Simmons) – 3:57 (Thou Shalt Not Think You Got It Like That)
- "Where'd You Go" (P. Status, C. Stokes, L. Roberson, L. Luckett, K. Rowland, B. Knowles) – 4:52 (Thou Shalt Not Leave Me Worrying)
- "Hey Ladies" (K. Briggs, Kandi, B. Knowles, L. Luckett, L. Roberson, K. Rowland) – 4:01 (Thou Shalt Know When They Have to Go)
- "If You Leave" (featuring Next) (T. Turman, R. L. Hugger, C. Elliot, O. Hunter) – 5:13 (Thou Shalt Move on to the Next)
- "Jumpin', Jumpin'" (R. Moore, Chad Elliot, B. Knowles) – 4:21 (Thou Shalt Get Your Party On)
- "Say My Name" (Rodney Jerkins, Fred Jerkins III, LaShawn Daniels, B. Knowles, L. Luckett, K. Rowland, L. Roberson) – 3:57 (Thou Shalt Say My Name)
- "She Can't Love You" (K. Briggs, Kandi, B. Knowles, L. Luckett, K. Rowland, L. Roberson) – 4:16 [Thou Shalt Know She Can't Love You]
- "Stay" (Darryl Simmons) – 4:24 [If Thou Can Wait Thou Shalt Stay]
- "Sweet Sixteen" (D. Wiggins, J. Watley, B. Knowles, K. Rowland) – 3:00 Thou Shalt Cherish Life)
- "Outro" (Amazing Grace... Dedicated to Andretta Tillman) – 4:04
- International bonus tracks
- "Get on the Bus" (featuring Timbaland) (M. Elliott, Tim Mosley) – 4:44
- "Bills, Bills, Bills" (Digital Black-N-Groove Club Mix)
- "Say My Name" (Timbaland remix) (F. Jerkins III, T. Mosely, R. Jerkins, L. Luckett, L. Daniels, B. Knowles, L. Roberson, K. Rowland, S. Garrett)
- Special edition bonus track
- "Can't Help Myself"
Reissue bonus disk[1]
- "Independent Women Part I"
- "Independent Women Part II"
- "8 Days of Christmas"
- "No, No, No Part 2"
Wafany kazi
[hariri | hariri chanzo]
|
|
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chati (1999) | Aina | Namba | Thibitisho |
---|---|---|---|
Australian ARIA Albums Top 50[2] | ARIA | 2 | 3x Platinum (210.000) |
Austrian Albums Chart[2] | Media Control | 18 | |
Belgian (Flanders) Albums Chart[2] | Ultratop | 8 | |
Belgian (Wallonia) Albums Chart[2] | 19 | ||
Canada Top 50 Albums | CRIA/Nielsen SoundScan | 2 | 5x Platinum (500.000) |
Danish Albums Chart[2] | 16 | Gold (30.000) | |
Dutch Albums Chart[2] | MegaCharts | 3 | 2x Platinum (160.000) |
Finnish Albums Chart[2] | 15 | ||
French Albums Chart[2] | SNEP/IFOP | 32 | Gold (250.000) |
German Albums Chart | Media Control | 21 | Gold (150.000+) |
New Zealand Albums Chart[2] | RIANZ | 6 | 3x Platinum (45.000) |
Norwegian Albums Chart[2] | VG Nett | 6 | Gold (30.000) |
Swedish Albums Chart[2] | GLF | 21 | Gold (50.000) |
Swiss Albums Chart[2] | Media Control | 23 | Gold (45.000) |
UK Albums Chart | BPI/The Official UK Charts Company | 10 | 3x Platinum (1.000.000) |
U.S. Billboard 200 | Billboard | 5 | 9x Platinum (9.000.000) |
U.S. Top R&B/Hip-Hop Albums | 2 |