Nenda kwa yaliyomo

Kelly Rowland

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kelly Rowland

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Kelendria Trene Rowland
Amezaliwa 11 Februari 1981 (1981-02-11) (umri 43)
Atlanta, Georgia, Marekani
Aina ya muziki Pop, R&B, Hip hop, Dance
Kazi yake Mwimbaji, mwanamtindo, dansa
Ala Sauti, Ngoma
Miaka ya kazi 1990–sasa
Studio Columbia (1997–2009)
Universal Motown (2010–sasa)
Ame/Wameshirikiana na David Guetta, Destiny's Child, Nelly


Kelly Rowland (Jina lake kamili ni Kelendria Trene Rowland) ni mwigizaji, mchezaji wa ngoma, mwanamtindo na aliyekuwa mwimbaji wa kikundi cha wanamuziki mashuhuri kiitwacho « Destiny’s Child ». Alikulia na kuzaliwa Marekani, tarehe 11 Februari 1981.

Simply Deep ni albamu yake ya kwanza na ilitolewa mwaka 2002. Ilikuwa na nyimbo kama Train on a Track, Stole na Dilemma ambayo ilichukua nafasi 64 kwenye orodha ya nyimbo 100. Katika mwaka 2006 albamu hii ilifuatiwa na Ms.Kelly. Albamu yake ya mwisho (ambayo jina lake bado haijulikani) itatolewa mwaka 2011. Ina nyimbo kama When love takes over uliyomfanya Rowland apewe tuzo ya Grammy moja na Commander. Rowland alishiriki na David Guetta katika kutayarisha nyimbo mbili hizo.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kelly Rowland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.