The Wonderboy Mixtape
Mandhari
The Wonderboy Mixtape | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Dizasta Vina | |||||
Imetolewa | 2017 | ||||
Imerekodiwa | 2012-2017 | ||||
Aina | Bongo Flava, Hip hop | ||||
Urefu | 34:59 | ||||
Lebo | Panorama Authentik | ||||
Mtayarishaji | Ringle Beats Dizasta Vina |
||||
Wendo wa albamu za Dizasta Vina | |||||
|
The Wonderboy Mixtape ni kandamseto ya kwanza ya msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Dizasta Vina. Kandamseto imetoka mwaka wa 2017.
Nyimbo kali katika kandamseto hii ni pamoja na Siku Nikifa, Harder, Mlengwa na nyingine kibao.[1] The Wonderboy Mixtape ina jumla ya nyimbo 10 na imetayarishwa katika studio mbalimbali za jijini Dar es Salaam chini ya lebo ya Panorama Authentik.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]Hii ni orodha ya nyimbo zinazopatikana katika kandamseto ya "The Wonderboy Mixtape".[2][3]
Na. | Jina la wimbo | Mtayarishaji | Urefu |
---|---|---|---|
1 | Baunsa (Reloaded) | Dizasta Vina | 04:49 |
2 | Kanisa (Refix) | Dizasta Vina | 04:09 |
3 | Machochoro Zote (Refix) | 01:14 | |
4 | Nyumba Ndogo | Innocent Mujwahuki | 04:12 |
5 | Sitaki Game | Ngwesa | 02:31 |
6 | Mlengwa | Ngwesa | 03:28 |
7 | Wild Noise | Man DVD | 02:35 |
8 | Harder | Lahil Paps | 04:11 |
9 | Siku Nikifa | Abby Mp | 03:29 |
10 | Mengi Mengineyo | Dabo | 04:18 |
Historia ya kutolewa
[hariri | hariri chanzo]Eneo | Tarehe | Lebo | Muundo | Kumb. |
---|---|---|---|---|
Tanzania | December 27, 2017 | Diski Gandamize (CD) | ||
Sehemu Mbalimbali | December 28, 2021 |
|
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Frank Lachman (2024-03-25). "Dizasta Vina: The Legendary Tanzanian Hip Hop Artist who is redefining the genre with his rare and unique rhymes" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-03-27. Iliwekwa mnamo 2024-07-25.
- ↑ THE WONDERBOY MIXTAPE, 2021-12-28, iliwekwa mnamo 2024-07-25
- ↑ The Wonderboy Mixtape by Dizasta Vina on Apple Music (kwa American English), 2021-12-28, iliwekwa mnamo 2024-08-09
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu The Wonderboy Mixtape kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |