Jesusta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jesusta
Studio album ya Dizasta Vina
Imetolewa 2018
Imerekodiwa 2016-2018
Aina Bongo Flava, Hip hop
Urefu 84:00
Lebo Panorama Authentik
Mtayarishaji Ringle Beats
Dizasta Vina
Wendo wa albamu za Dizasta Vina
"Jesusta"
(2018)
"The Verteller"
(2020)


Jesusta ni jina la albamu ya kwanza ya msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Dizasta Vina. Albamu imetoka mwaka wa 2018, mwaka mmoja tangu atoe kandamseto yake ya kwanza, The Wonderboy (2017). Nyimbo kali kutoka katika albamu ni pamoja na Kikaoni, Hatia, Fallen Angel, Kanisa, Nobody is Safe na nyingine kibao.[1] Albamu imetayarishwa katika studio mbalimbali za jijini Dar es Salaam chini ya lebo ya Panorama Authentik.

Albamu imeshirikisha wasanii wengine ikiwa ni pamoja na Nikki Mbishi katika Wronge Dude, Boshoo, Kinya, na Motra the Future katika Handakini, Jeff Mduma katika Miss Tamaduni na wengine kibao.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Hii ni orodha ya nyimbo zinazopatikana katika albamu ya "Jesusta".[2]

Na. Jina la wimbo Mtayarishaji Urefu
1 The Lost One 5:02
2 Kikaoni 5:54
3 Nobody Is Safe 4:46
4 Nobody Is Safe II 5:17
5 Hatia 5:53
6 Hatia II 5:05
7 Hatia III 5:17
8 The Last Chapter (akiwa na Buudah, Kamusi,na Stimela). 1:45
9 Baunsa (akiwa na Shaolin Senetor). 4:43
10 Kanisa 4:30
11 Handakini (akiwa na Boshoo, Kinya, na Motra the Future). 3:26
12 Fallen Angel 4:50
13 Wronge Dude (akiwa na Nikki Mbishi). 2:16
14 Wengi Wao (akiwa na Dubo Jesus Son) Ringle Beats 3:41
15 Siku Mbaya 3:48
16 Tega Sikio 4:05
17 Maswali 2:48
18 Waite (akiwa na Budaah & Kamusi) 4:02
19 Sister 4:17
20 Miss Tamaduni (akiwa na Jeff Mduma) 3:18

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Dizasta Vina - Jesusta (in English), retrieved 2023-03-15 
  2. Jesusta by Dizasta Vina (in en-US), 2021-07-15, retrieved 2023-03-21 
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jesusta kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.