Teresa Mannino

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Teresa Mannino
Amezaliwa23 Novemba 1970
UtaifaItalia
Kazi yakeMchekeshaji

Teresa Mannino (alizaliwa Palermo, 23 Novemba 1970) ni mchekeshaji, mwigizaji, na mtangazaji wa runinga nchini Italia.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Mannino alihitimu masomo ya falsafa, kisha alihamia Milano akajiunga na shule ya uigizaji ya Teatro Carcano Europe.[1] [2]

Baada ya mafunzo na mazoezi ya kutosha alikuwa mchekeshaji wa kwenye majukwaa na alianza kuonekana kwenye chaneli ya televisheni ya Kiitalia iitwayo Canale 5 katika maudhui tofautitofauti Zelig.[1][3]

Mannino anafanya vizuri kwenye majukwaa, filamu na vipindi mbalimbali vya kibiashara kwenye runinga. Mnamo mwaka 2012 alikuwa mwenyeji wa mahojiano ya one-woman-show kwenye chaneli ya Kiitalia ya La 7, Se stasera sono qui.[4]

Mwisho wa maudhui alielezea maudhui kama "show talk", si "talk show", akimaanisha kuwa mahojiano yatakuwa yakizungumzia mambo yahusuyo jamii na utamaduni kiundani kidogo. [5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Gigi Vesigna. "La filosofiava in scena", 29 July 2007. Retrieved on 24 April 2014. 
  2. Silvia Fumarola. "Teresa Mannino tra cinema e tv", 31 March 2012. Retrieved on 24 April 2014. 
  3. Marida Caterini. "Teresa Mannino da Zelig off a Zelig, col mago Forest", 8 August 2012. Retrieved on 24 April 2014. Archived from the original on 2014-04-24. 
  4. "La parolaallacritica: se staserasono qui con Teresa Mannino", 10 September 2012. Retrieved on 24 April 2014. Archived from the original on 2015-06-30. 
  5. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-09. Iliwekwa mnamo 2021-05-11.

Kusoma zaidi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Teresa Mannino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.