Temwa Chawinga
Mandhari
Temwa Chawinga | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Tarehe ya kuzaliwa | 20 Septemba 1998 | |
Mahala pa kuzaliwa | Lilongwe, Malawi | |
Nafasi anayochezea | Mshambuliaji | |
Timu ya taifa | ||
Timu ya Taifa ya Wanawake Malawi | ||
* Magoli alioshinda |
Temwa Chawinga, (alizaliwa 20 Septemba 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Malawi ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Wuhan Jianghan University FC na Timu ya Taifa ya Wanawake Malawi.
Maisha binafsi
[hariri | hariri chanzo]Dada yake Tabitha Chawinga pia ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kimataifa wa nchini Malawi.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ahmadu, Samuel (6 Machi 2021). "Chawinga: Tabitha joins Malawian sister Temwa at Wuhan". Goal.com. Goal. Iliwekwa mnamo 6 Agosti 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: url-status (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Temwa Chawinga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |