Tecno Mobile

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
TecnoMobile.png

Tecno Mobile ni kampuni ya simu ya mkononi ambayo makao makuu yake yanapatikana Hong Kong, China.

Kampuni hiyo ya simu imeanzishwa mwaka 2006. Tecno ililenga biashara yake juu ya soko la Afrika na Asia Kusini. Hata hivyo, baada ya utafiti wa soko uliofanywa katika Asia ya Kusini-Mashariki, Afrika na Amerika ya Kilatini, kampuni hiyo iligundua kwamba Afrika ilikuwa eneo lenye faida zaidi. Matokeo yake, mwaka 2008, alisimama kufanya biashara huko Asia ili kukomalia biashara Afrika.

Baadaye, mwaka 2016, Tecno aliingia kwenye soko la Mashariki ya kati baada ya kupata soko zuri katika bara la Afrika, na kisha Asia ya Kusini mwaka 2017.

ThreeCoins.svg Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tecno Mobile kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.