Tawa Ishola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tawa Ishola
Nchi Nigeria
Kazi yake mchezaji wa mpira wa miguu

Tawa Ishola (alizaliwa 23 Desemba 1988) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambaye alicheza kama kiungo wa timu ya taifa ya Nigeria katika michuano ya Olimpiki Summer mnamo mwaka 2008. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Women's Olympic Football Tournament Beijing – Nigeria Squad List". FIFA. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-05. Iliwekwa mnamo 22 October 2012.  More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tawa Ishola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.