Nenda kwa yaliyomo

Tango

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Matunda ya Cucumis sativus.

Tango ni tunda mojawapo lenye maji mengi (kama vile tikitimaji) ambalo linabeba virutubisho kama vile Vitamini B, C, K, Potassium na Manganese.

Mmea wake, mtango, una jina la kisayansi Cucumis sativus na una asili ya India.

Makala hii kuhusu "Tango" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.