Swahili Times

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya SwahiliTimes.

Swahili Times ni tovuti inayojumuisha mkusanyiko wa habari za mitandaoni na ni blogu ya Tanzania ambayo ina habari nyingi za ndani na za nje ya nchi, zote katika lugha ya Kiswahili. Ilizinduliwa Aprili 2 mwaka 2016. Tovuti hii inatoa habari, kejeli, na inaangaza kwenye siasa, biashara, burudani, mazingira, teknolojia, media maarufu, mtindo wa maisha, utamaduni, ucheshi, uvumi, maisha ya kizazi kipya cha sinema na muziki wa Tanzania, mtindo wa maisha na habari za hapa nchini.

Ipo mkoani Dar es Salaam. Pia ina akaunti ya Twitter inayotoa matangazo zaidi ya nchini Tanzania.[1]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]