Suswa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kenya relief location map.jpg

Mlima Suswa ni volkeno ya kale yenye kimo cha mita 2356 juu ya UB. Volkano iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Suswa