Nenda kwa yaliyomo

Mlima Suswa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya miinuko ya Kenya.

Mlima Suswa ni volkeno ya kale yenye kimo cha mita 2356 juu ya UB. Volkano iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kati ya kaunti ya Narok na kaunti ya Kajiado. [1]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Suswa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-05. Iliwekwa mnamo 2020-07-21.