Nenda kwa yaliyomo

Susanne Peter Maselle

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Susanne Peter Maselle ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum kwa miaka 20152020. [1]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania Ilihifadhiwa 11 Mei 2017 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Susanne Peter Maselle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.