Suren Gazaryan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Suren Gazaryan

Suren Gazaryan (kwa Kirusi: Сурен Владимирович Газарян; amezaliwa 8 Julai 1974) ni mtaalamu wa wanyama, mtu wa umma, na mshiriki wa zamani wa The Environmental Watch Kaskazini mwa Kaukazi kutoka Urusi.[1]

Ni mwanachama wa Baraza la Uratibu wa Upinzani la Urusi (Russian Opposition Coordination Council). Alipewa Tuzo ya Mazingira ya Goldman (Goldman Environmental Prize) mnamo 2014.[2][3][4]

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Gazaryan alizaliwa mnamo 8 Julai 1974 huko Krasnodar. Mnamo 1996, alihitimu kutoka Chuo Kikuu cha Jimbo la Kuban, na mnamo 2001 alimaliza masomo ya uzamili katika Chuo cha Sayansi cha Urusi.[5] Mnamo 2001, alichaguliwa pia kuwa mwenyekiti wa tume ya ulinzi wa mapango ya Russian Union of Cavers.[6]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Suren Gazaryan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]