Sun Ra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sun Ra
Sun Ra,1973
Sun Ra,1973
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Herman Poole Blount
Pia anajulikana kama Le Sony'r Ra
Amezaliwa Mei 22, 1914
Asili yake Birmingham, Alabama, U.S.
Amekufa Mei 30, 1993,Birmingham, Alabama, U.S.
Kazi yake Mpiga piano
Mtunzi
Mshairi
Miaka ya kazi 1934–1993

Le Sony'r Ra (alizaliwa Mei 22, 1914 - Mei 30, 1993), anajulikana zaidi kama Sun Ra, alikuwa mtunzi wa jazz, mtunzi wa bendi, mpiga piano na mshairi anayejulikana kwa muziki wake wa falsafa ya "cosmic" wa nchini Marekani. Kwa muda mrefu wa kazi yake, Ra aliongoza "The Arkestra".[1] Alizaliwa na kulelewa huko Alabama na alianza kushiriki katika muziki wa eneo la Chicago jazz mwishoni mwa mwaka 1940. Baada ya muda mchache akaachana na jina lake la kuzaliwa na kuchukua jina la Le Sony'r Ra na kuitwa Sun Ra.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Barrett, Gena-mour (2018-05-06). "Afrofuturism: Why black science fiction 'can't be ignored'". BBC. Iliwekwa mnamo 2018-05-06. 
  2. Wilson, Nancy. "Sun Ra: 'Cosmic Swing'" (radio). NPR Jazz Profiles. National Public Radio. Iliwekwa mnamo 2008-06-01. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sun Ra kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.