Suhayr al-Qalamawi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Suhayr al-Qalamawi
Suhayr al-Qalamawi

Suhayr al-Qalamawi (kwa Kiarabu: سهير القلماوي) (20 Julai 1911 - 4 Mei 1997) alikuwa mtu mashuhuri na mwanafasihi nchini Misri, alitengeneza maandishi na utamaduni wa kiarabu kupitia uandishi wake. Alikuwa miongoni mwa wanawake wa kwanza kuhudhuria Chuo Kikuu cha Kairo. Mnamo mwaka 1941 alikuwa mwanamke wa kwanza nchini Misri kupata Shahada ya uzamivu ya Sanaa na PhD kwa kazi yake ya fasihi ya kiarabu. Baada ya kuhitimu aliajiriwa katika Chuo Kikuu Kama muhadhiri wa kwanza mwanamke.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]