Stop Arretez
Mandhari
Stop Arretez | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Aurlus Mabele | |||||
Imetolewa | 1992 | ||||
Imerekodiwa | 1991-1992 | ||||
Aina | Soukous | ||||
Lebo | Jimmy's Production | ||||
Mtayarishaji | Jimmy Houetinou | ||||
Wendo wa albamu za Aurlus Mabele | |||||
|
"Stop Arretez" ni jina la albamu iliyotoka mwaka 1992 kutoka kwa msanii wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kongo, Aurlus Mabele. Albamu ni moja kati ya albamu bora kabisa za Mabele na muziki wote wa soukous kwa miaka ya 1990. Nyimbo kali kutoka katika albamu hii ni pamoja na Stop, Arrêtez !, Evelyne na Mali Bamako. Ilikuwa mwaka mmoja tangu albamu ya vibao vikali aliyofanya na Loketo mwaka 1991. Katika albamu hiyo kulikuwa na nyimbo kama vile Embargo, Asta-Di na Betty.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]Zifuatazo ni orodha kamili ya nyimbo zinapatikana katika albamu hii.
- A1- Stop, Arrêtez !
- A2 - Evelyne
- A3 - Conseil Gratuit
- A4 - Mali Bamako (Version Night Club)
- B1 - Zanbel
- B2 - Mali Bamako (Version Chantée)
- B3 - Gloire A Dieu (Inch' Allah)
- B4 - Yasmine
Viungo vya Nj
[hariri | hariri chanzo]- Stop Arretez katika wavuti ya Discogs.