Nenda kwa yaliyomo

Speedy Gonzales

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Speedy Gonzalez ni katuni katika mfululizo wa Warner Brothers Looney Tunes na Merrie Melodies Series.

Yeye ameigiza kama "Panya mwenye kasi kuliko wote Mexico" na sifa yake kubwa kuwa na uwezo wa kukimbia haraka sana, akizungumza lafudhi ya Kimexico kilichotukuzwa sana na pia kuongea Kihispania.

Kawaida anavaa sombrero (kofia ya Kimexico) ya njano, shati nyeupe na suruali (ambayo ilikuwa vazi la jadi ambalo huvaliwa na wanaume na wavulana wa vijijini huko Mexico), na kitambaa chekundu, sawa na mavazi ya baadhi ya jadi ya Mexico.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Speedy Gonzales kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.