Nenda kwa yaliyomo

Souad Bendjaballah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Souad Bendjaballah ni mwanasheria wa Algeria, mwanaharakati wa haki za wanawake na mwanasiasa.

Souad ni mwanachama wa kikundi cha utafiti cha Historia ya wanawake huko Mediterania akishirikiana pamoja na Fatima-Zohra Guechi

Souad alishiriki katika kongamano hilo mnamo Novemba 1999 katika Chuo Kikuu cha Constantine.[1][2] Pia Mnamo Oktoba 8, 2003, aliteuliwa kuwa Waziri Mjumbe wa Waziri wa Elimu ya Juu, anayesimamia utafiti wa kisayansi.[3]

  1. Fatima Zohra Guechi, « Groupe de recherche « Histoire des femmes en Méditerranée », Insaniyat / إنسانيات, 9, vol. 9, 1999, p. 149-151
  2. Fatima Zohra Guechi, « Femmes du Maghreb », Clio. Femmes, genre, histoire, vol. 9, 1999
  3. "Official Journal of the Algerian Republic number 60" (PDF). Oktoba 8, 2003.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)