Sola Fosudo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sola Fosudo (amezaliwa mwaka 1958) ni mwongozaji na muigizaji wa filamu nchini Nigeria.[1][2]

Maisha ya awali na taaluma[hariri | hariri chanzo]

Sola alikulia katika jiji la Lagos.[3] Alijifunza sanaa ya maigizo katika chuo kikuu cha Obafemi Awolowo University na University of Ibadan ambako alipata shahada ya sanaa katika michezo ya maigizo.[4] Ameongoza na kutengeneza filamu mbalimbali nchini Nigeria .[5]

Filamu[hariri | hariri chanzo]

 • True Confession
 • Glamour Girls I
 • Rituals
 • Strange Ordeal
 • Iyawo Alhaji
 • Family on Fire

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. Church honour excites Fosudo. The Punch - Nigeria's Most Widely Read Newspaper. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-10-31. Iliwekwa mnamo 2020-11-05.
 2. Nigeria HomePage - Breaking News, Business, Sports, Entertainment and Video News. thenigerianvoice.com. Iliwekwa mnamo 20 February 2015.
 3. "I'm not a Nollywood person", The Vanguard. 
 4. Olawale Adegbuyi. MOVIE VETERANS: NIGERIAN FILM ICONS ON PARADE – Part 2. The Movietainment Magazine. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-02-15. Iliwekwa mnamo 2020-11-05.
 5. Archived copy. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-02-16. Iliwekwa mnamo 2020-11-05.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sola Fosudo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.