Nenda kwa yaliyomo

Sky Brown

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sky Brown mnamo 2024
Sky Brown mnamo 2024

Sky Brown (amezaliwaa 7 Julai 2008) ni Mwingereza mwenye asili ya Japani aliyeshindana katika mashindano ya kuendesha ubao wa matairi kwa Uingereza yote. Yeye katika umri mdogo ni mtaalamu wa kuendesha mbao za matairi Ulimwenguni, lakini pia alishinda Kipindi chaTelevisheni cha Marekani cha cheza na nyota wadogo.[1] Aliwakilisha Uingereza yote katika Olimpiki ya majira ya joto 2020,ambapo alishinda medali ya shaba katika onesho la wazi, na kuwa mshindi wa medali mdogo kuwai kutokea nchini marejeo.[2]

  1. "Sky Brown", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-12-10, iliwekwa mnamo 2021-12-13
  2. "Do Rankings Promote Academic Excellence?", World-Class Universities, BRILL, ku. 79–112, 2021-05-03, iliwekwa mnamo 2021-12-13