Sir William Mackinnon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Faili:Sir William Mackinnon.jpg
Hii ndio picha ya Sir William Mackinnon (katikati)

Sir William Mackinnon (alizaliwa Campbeltown, Argyll, Uskoti, 13 Machi 1823) alikuwa mfanyabiashara wa kimataifa.

Baada ya kuanza biashara ya mboga, alienda Glasgow na kufanya kazi kwa mfanyabiashara ambaye alikuwa na maslahi ya biashara ya Asia. Mackinnon alienda India mwaka wa 1847 na kujiunga na rafiki wa zamani wa shuleni, Robert Mackenzie, katika biashara ya pwani, akibeba bidhaa kutoka bandari moja hadi nyingine karibu na Bahari ya Bengal. Pamoja waliunda kampuni ya "Mackinnon Mackenzie" na Mackinnon aliamua kufanya mambo ya msingi katika shughuli zake.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sir William Mackinnon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.