Simon Bruté
Mandhari
Simon William Gabriel Bruté de Rémur (20 Machi 1779 – 26 Juni 1839) alikuwa mmisionari wa Ufaransa katika nchi ya Marekani na askofu wa kwanza wa Jimbo la Vincennes, Indiana.
Rais John Quincy Adams alimtaja Bruté kama mtu mwenye elimu kubwa zaidi wa wakati wake nchini Marekani.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ History of Old Vincennes and Knox County, Indiana, Volume 1 p. 412 By George E. Greene
- ↑ The Old Vincennes Cathedral and Its Environs p. 12 by Curtis Grover Shake
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |