Sikukuu za Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sikukuu za Kenya ni sikukuu karibu kumi na mbili zinazoadhimishwa kisheria nchini Kenya.

Tarehe Jina la Sikukuu
1 Januari Sikukuu ya Mwaka Mpya
Tarehe inabadilika Ijumaa Kuu
Tarehe inabadilika Jumatatu ya Pasaka
1 Mei Sikukuu ya Wafanyakazi
1 Juni Sikukuu ya Madaraka[1]
Tarehe inabadilika (inahitaji kuonekana kwa Mwezi) Idd el Fitr
Tarehe inabadilika (inahitaji kuonekana kwa Mwezi) Idd el Adha
10 Oktoba Siku ya Moi[2]
20 Oktoba Sikukuu ya Mashujaa
12 Desemba Sikukuu ya Jamhuri[3]
25 Desemba Sikukuu ya Krismasi
26 Desemba Siku ya Utamaduni [4][5]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Madaraka Day in Kenya in 2021". Office Holidays (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo January 14, 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Huduma Day in Kenya in 2021". Office Holidays (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo January 14, 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Jamhuri Day in Kenya in 2021". Office Holidays (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo January 14, 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "National Holidays in Kenya in 2020". Office Holidays (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-09-21. 
  5. PSCU. "Moi Day renamed Huduma Day, Boxing Day, Utamaduni Day". The Standard (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-09-21. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sikukuu za Kenya kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.