Nenda kwa yaliyomo

Shule ya Nisibi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shule ya Nisibi ilikuwa kimojawapo kati ya vituo vya teolojia na ufafanuzi wa Biblia ya Kikristo wakati wa Mababu wa Kanisa[1][2][3] ; vingine muhimu zaidi vilikuwa Shule ya Aleksandria na Shule ya Antiokia. Majina ya hivyo vituo vyote yalitokana na miji vilipostawi katika Ukristo.

Ilianzishwa mwaka 350, halafu mwaka 363, mji huo ulipotekwa na Waajemi, Efrem wa Syria[4] aliihamishia Edessa. Mwaka 489 ilirudishwa Nisibi[5].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Jonsson, David J. (2002). The Clash of Ideologies. Xulon Press. uk. 181. ISBN 978-1-59781-039-5.
  2. Spencer, Robert (2005). The politically incorrect guide to Islam (and the Crusades). Regnery Publishing. uk. 91. ISBN 978-0-89526-013-0.
  3. "MONASTIC LIFE IN THE SYRIAN ORTHODOX CHURCH OF ANTIOCH". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-28.
  4. "MONASTIC LIFE IN THE SYRIAN ORTHODOX CHURCH OF ANTIOCH". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-28.
  5. "School of Nisibis - School". RouteYou (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-08-21.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shule ya Nisibi kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.