Nenda kwa yaliyomo

Shirikisho la Mpira wa Kikapu Nigeria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shirikisho la Mpira wa Kikapu Nigeria[1] (kwa Kiingereza: Nigerian Basketball Federation (NBBF) ni bodi inayosimamia mpira wa kikapu kwa wanaume na wanawake nchini Nigeria. NBBF ilikuwa mshirika wa FIBA afrika tangu mwaka 1963, ofisi zake zinapatikana Abuja na Lagos.[2]

Mashindano ya FIBA

[hariri | hariri chanzo]

Timu ya wakubwa upande wa wanaume kwa mpira wa kikapu imeshiriki mashindano ya FIBA Afrika mara 17, kama: 1972, 1978, 1980, 1985, 1987, 1992, 1995, 1997, 1999, 2001, 2003, 2005, 2007, 2009, 2011, 2013 na 2015.[3]

  1. "Nigeria Basket Ball Federation". Nigeria Basket Ball Federation (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-09-01.
  2. "Casino Bonuses Nigeria". Casino Bonuses Nigeria (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-09-01.
  3. "History of Basketball in Nigeria". basketball.sitesng.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-09-01. Iliwekwa mnamo 2022-09-01. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)