Sherifa Gunu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sherifa Gunu akiwa anatumbuiza katika jukwaa la michezo ya kitaifa.
Sherifa Gunu akiwa anatumbuiza katika jukwaa la michezo ya kitaifa.

Sherifa Gunu ni mwanamuziki wa nyimbo za injili nchini Ghana . [1] Alizaliwa katika familia ya kifalme ya Ufalme wa Dagbon, katika Mkoa wa Kaskazini wa Ghana. Gunu alipendezwa na muziki na densi wakati wa utoto wake. [2] Sherifa ameshiriki katika mashindano mbalimbali ya kucheza dansi katika ngazi ya mkoa na kitaifa.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Sherifa Gunu hwas alizaliwa katika Ufalme wa Dagbon katika Mkoa wa Kaskazini wa Ghana katika familia ya kifalme. Aliacha shule mapema na baadae akashiriki mashindano ya dansi ya kikanda na kitaifa[3][4].

Maisha Binafsi[hariri | hariri chanzo]

Sherifa ni Muislamu na mama wa watoto wawili.[5] [6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Eugene Osafo-Nkansah (16 May 2011). Sherifa Gunu delivers baby girl. Ghana Music. peacefmonline.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-12-12. Iliwekwa mnamo 6 December 2013.
  2. ProfileAbility – Sherifa Gunu (en-GB). ProfileAbility. Iliwekwa mnamo 2022-03-25.
  3. https://www.ghanaweb.com/person/Sherifa-Gunu-1036
  4. https://www.ghanaweb.com/GhanaHomePage/entertainment/Sherifa-Gunu-announces-new-single-Salamatu-498602
  5. Eugene Osafo-Nkansah (16 May 2011). Sherifa Gunu delivers baby girl. peacefmonline.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-12-12. Iliwekwa mnamo 27 February 2020.
  6. Bala MD (17 Nov 2022). Sherifa Gunu To Tour USA. Naijabasic.ng. Iliwekwa mnamo 19 November 2022.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sherifa Gunu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.