Nenda kwa yaliyomo

Shai Gilgeous-Alexander

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gilgeous-Alexander Mwaka 2022

Shaivonte Aician Gilgeous-Alexander (anajulikana pia kwa herufi za mwanzo za majina yake SGA, alizaliwa Julai 12, 1998), ni mchezaji wa mpira wa kikapu wa Kanada anayechezea timu ya Jiji la Oklahoma Thunder (kwa Kiingereza: Oklahoma City Thunder) ya Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani (NBA). Aliichezea timu ya Chuo Kikuu cha Kentucky Wildcats kwa mwaka mmoja tu na kuchaguliwa na timu ya Charlotte Hornets katika drafti ya Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani ya mwaka 2018 kama chaguo la 11 kabla ya kuuzwa kwenda kwenye timu ya Los Angeles Clippers siku hiyo hiyo.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Gilgeous-Alexander sidelined by plantar fasciitis". ESPN.com (kwa Kiingereza). 2021-03-25. Iliwekwa mnamo 2024-06-23.