Los Angeles Clippers

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
baadhi ya wachezaji katika timu
nembo ya timu

Los Angeles Clippers ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Los Angeles, California. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Kawhi Leonard.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Los Angeles Clippers kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.