Charlotte Hornets

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Uwanja wa timu ya Charlotte Hornets, Bobcats dhidi ya Dallas Mavericks mnamo Novemba 11, 2005.

Charlotte Hornets ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Charlotte, North Carolina. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Terry Rozier.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charlotte Hornets kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.