Shabani
Mandhari
Shabani ni jina la:
- mwezi wa nane wa kalenda ya Kiislamu
Watu
[hariri | hariri chanzo]- ubini wa Kiislamu unaoweza kurejelea:
- Agim Shabani (amezaliwa mwaka 1988), mwanasoka wa Norwei mwenye asili ya Albania
- Bunjamin Shabani (amezaliwa mwaka 1991), mwanasoka wa kabila la Albania kutoka Jamhuri ya Masedonia
- Hussein Shabani (amezaliwa mwaka 1990) mwanasoka wa Burundi
- Nasser Shabani (alikufa mwaka 2020) Jenerali wa Irani
- Razie Shabani (mwaka 1925 mpaka 2013), mwanasiasa na mwanaharakati wa Kiazabajani
- Shabani Nonda (amezaliwa mwaka 1977) alistahafu kucheza soko
Maeneo
[hariri | hariri chanzo]- Shabani, Iran, kijiji katika Mkoa wa Kurdistan
- Shabani, Zimbabwe, mji wa madini Zimbabwe
Matumizi mengine
[hariri | hariri chanzo]- Shabani (gorilla) (aliyezaliwa 1996), sokwe wa nyanda za chini magharibi anayetembea kwenye mbuga ya wanyama ya Higashiyama huko Nagoya, Japani.