Shaaban Hassan Kado

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shaaban Hassan Kado
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 14 Aprili 1989
Mahala pa kuzaliwa    Dar es Salaam, Tanzania
Urefu 1.68 m
Nafasi anayochezea Golikipa
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Tanzania

* Magoli alioshinda

Shaaban Hassan Kado, (alizaliwa 14 Aprili 1989) ni golikipa wa mpira wa miguu wa nchini Tanzania ambaye anachezea klabu ya Mtibwa Sugar.[1]

Pia Kado ameshawahi kuchezea klabu mbalimbali kama vile Young Africans (2011 - 2012),[2] Mwadui United na Coastal Union kabla ya kujiunga na klabu ya Mtibwa Sugar.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. [1] at National-Football-Teams.com
  2. Benjamin Strack-Zimmermann. "Young Africans Dar-es-Salaam (2011/12)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-12. 
  3. Benjamin Strack-Zimmermann. "Shaaban Hassan Kado (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-12. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shaaban Hassan Kado kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.