Nenda kwa yaliyomo

Seleke Botsime

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Seleke Botsime (alizaliwa 1975) ni mpiga gitaa, mtunzi na mwanamuziki wa nchini Afrika Kusini.

Alizaliwa huko Mangaung katika Jimbo la Free Statemwimbaji huyu amebobea katika muziki wa jazz na hutumbuiza kwenye tafrija na matukio mbalimbali nchini kote, na katika nchi jirani. 

Ametoa albamu inayoitwa CONFRONTATION ikiwa na nyimbo kumi na moja, kikiwemop kibao cha Zimbabwe . [1] [2]

  1. ",SELEKE BOTSIME TAKES FS BY STORM!". kagablog. 2007-12-02. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-03. Iliwekwa mnamo 2022-05-14.
  2. Nkatswang, Thato (2009-11-23). ""Why I cut my locks" - Seleke Botsime". Free State Interviews.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Seleke Botsime kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.