Secrets
Secrets | |||||
---|---|---|---|---|---|
Kasha ya albamu ya Secrets
|
|||||
Studio album ya Toni Braxton | |||||
Imetolewa | 18 Juni 1996 | ||||
Imerekodiwa | Oktoba 1995 - Aprili 1996 | ||||
Aina | R&B, soul, pop | ||||
Urefu | 54:53 | ||||
Lugha | Kiingereza | ||||
Lebo | LaFace | ||||
Mtayarishaji | Babyface (also exec.), Antonio "L.A." Reid (also exec.), R. Kelly, David Foster, Tony Rich, Soulshock & Karlin, Keith Crouch | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
|
|||||
Wendo wa albamu za Toni Braxton | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya Secrets | |||||
|
Secrets ni albamu ya pili ya mwanamuziki Toni Braxton, iliyotolewa nchini Marekani mnamo 18 Juni 1996. Baada ya kushinda tuzo tele kutoka kwa albamu yake ya awali, ikiwemo tuzo ya Grammy Award for Best New Artist; na kuuza nakala milioni nane, kulikuwa na matumaini mengi kwa albamu hii ya pili. Albamu hii iiuza nakala milioni nane nchini Marekani na zaidi ya nakala milioni tano kote duniani.
Nyimbo zake[hariri | hariri chanzo]
- "Come on Over Here" (Darrell Spencer, Tony Rich, Marc Nelson) – 3:36
- "You're Makin' Me High" (Babyface, Bryce Wilson) – 4:26
- "There's No Me Without You" (Babyface) – 4:19
- "Un-Break My Heart" (Diane Warren) – 4:30
- "Talking in His Sleep" (Toni Braxton, Keith Crouch) – 5:33
- "How Could an Angel Break My Heart" (with Kenny G) (Babyface, Braxton) – 4:20
- "Find Me a Man" (Babyface) – 4:27
- "Let It Flow" (Babyface) – 4:21
- "Why Should I Care" (Babyface) – 4:25
- "I Don't Want To" (R. Kelly) – 4:17
- "I Love Me Some Him" (Andrea Martin, Gloria Stewart) – 5:09
- "In the Late of Night"/"Toni's Secrets" (Babyface, Jonathan Buck) – 5:33
Toleo la Ulaya[hariri | hariri chanzo]
- "In the Late of Night" – 5:18
- "Toni's Secrets" – 0:15
Toleo la Latin Amerika[hariri | hariri chanzo]
- "Regresa a Mi" ("Un-Break My Heart" Spanish Version) – 4:30
Toleo la Ujapani[hariri | hariri chanzo]
- "You're Makin' Me High" (T'empo Mix) – 4:13
- "Un-Break My Heart" (Classic Radio Mix) – 4:27
- "I Don't Want To" (Frankie Knuckles Radio Edit) – 3:56
Chati[hariri | hariri chanzo]
|
|
Certifications[hariri | hariri chanzo]
Nchi | Anayetoa | Thibitisho | Mauzo |
---|---|---|---|
Australia | ARIA | 2× platinum[7] | 140,000 |
Austria | IFPI | Platinum[8] | 20,000 |
Canada | CRIA | 7× platinum[9] | 700,000 |
Europe | IFPI | 3× platinum[10] | 3,000,000 |
Finland | Gold[11] | 35,227 | |
France | SNEP | Gold[12] | 100,000 |
Germany | IFPI | Platinum[13] | 200,000 |
Netherlands | NVPI | 2× platinum[14] | 120,000 |
Norway | IFPI | Platinum[15] | 30,000 |
Poland | ZPAV | Platinum[16] | 20,000 |
Sweden | IFPI | Platinum[17] | 40,000 |
Switzerland | 2× platinum[18] | 100,000 | |
United Kingdom | BPI | 2× platinum[19] | 600,000 |
United States | RIAA | 8× platinum[20] | 8,000,000 |
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ 1.00 1.01 1.02 1.03 1.04 1.05 1.06 1.07 1.08 1.09 1.10 Toni Braxton – Secrets – swisscharts.com. SwissCharts.com. Iliwekwa mnamo 2008-10-05.
- ↑ Secrets – Oricon (Japanese). Oricon. Iliwekwa mnamo 2009-07-24.
- ↑ 3.0 3.1 3.2 Secrets > Charts & Awards > Billboard Albums. Allmusic. Iliwekwa mnamo 2008-10-05.
- ↑ Musicline.de – Toni Braxton – Secrets (German). Musicline.de. Iliwekwa mnamo 2008-10-05.
- ↑ Top 40 album- és válogatáslemez-lista – 1997. 8. hét (Hungarian). Mahasz. Iliwekwa mnamo 2008-10-05.
- ↑ Chart Stats – Toni Braxton – Secrets. Chart Stats. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-05-24. Iliwekwa mnamo 2008-10-05.
- ↑ ARIA Charts – Accreditations – 1997 Albums. ARIA. Iliwekwa mnamo 2009-07-19.
- ↑ IFPI Austria – Gold & Platin Datenbank (German). IFPI (10 Aprili 1997). Iliwekwa mnamo 2009-07-19.
- ↑ CRIA: Search Certification Database. CRIA (31 Desemba 1997). Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-01-11. Iliwekwa mnamo 2009-07-19.
- ↑ IFPI Platinum Europe Awards – 1997 Awards. IFPI. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-05-22. Iliwekwa mnamo 2009-07-19.
- ↑ IFPI Finland – Toni Braxton (Finnish). IFPI. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-08-18. Iliwekwa mnamo 2009-07-19.
- ↑ Certifications Albums Or – année 1997 (French). SNEP (17 Juni 1997). Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-04-04. Iliwekwa mnamo 2009-07-19.
- ↑ Gold/Platin-Datenbank (German). Bundesverband Musikindustrie. Iliwekwa mnamo 2009-07-19.
- ↑ NVPI – Goud/Platina (Dutch). NVPI. Iliwekwa mnamo 2009-07-19.[dead link]
- ↑ IFPI Norsk – Salgstrofeer (Norwegian). IFPI. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-01-18. Iliwekwa mnamo 2009-07-19.
- ↑ ZPAV platinum certification awards – 1997. ZPAV. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-05-25. Iliwekwa mnamo 2009-07-19.
- ↑ IFPI Sweden – Guld & Platina – År 1987–1998 (PDF) (Swedish). IFPI (10 Februari 1997). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-06-16. Iliwekwa mnamo 2009-07-19.
- ↑ Swiss Certifications – Awards 1998. SwissCharts.com. Iliwekwa mnamo 2009-07-19.
- ↑ Chart Log UK – 1994–2008. Zobbel.de. Iliwekwa mnamo 2009-07-19.
- ↑ RIAA – Gold & Platinum. RIAA (3 Oktoba 2000). Iliwekwa mnamo 2009-07-19.