Nenda kwa yaliyomo

Scott McTominay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Scott Mc Tominey

Scott Mc Tominay (alizaliwa 8 Desemba 1996) ni mchezaji wa soka ambaye anacheza kama kiungo wa kati wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uskoti.

Manchester United[hariri | hariri chanzo]

Msimu wa 2017-18 Kabla ya msimu wa 2017-18, McTominay alitajwa kuwa mwanachama wa Manchester United i, pamoja na mechi dhidi ya Vålerenga na Sampdoria.Katika mechi dhidi ya Vålerenga tarehe 30 Julai 2017,McTominay alicheza kama mbadala wa Paul Pogba.

McTominay alisaini mkataba mpya na Manchester United,mkataba mpaka Juni 2021. Alianza mechi yaka ya kwanza msimu wa 2017-18 Oktoba 24, katika ushinda wa 2-0 dhidi ya Swansea katika EFL .

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Scott McTominay kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.