Sauti ya Gharama
Mandhari
“Sauti ya Gharama” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Dknob kutoka katika albamu ya Elimu Mitaani.com | |||||
Imetolewa | 2004 | ||||
Muundo | CD | ||||
Imerekodiwa | 2004 | ||||
Aina | Hip hop | ||||
Studio | Bongo Records | ||||
Mtunzi | Innocent Sahani | ||||
Mtayarishaji | P Funk | ||||
Mwenendo wa single za Dknob | |||||
|
Sauti ya Gharama ni wimbo wa Dknob akimshirikisha Mez B.. Wimbo unatoka katika albamu ya kwanza ya Dknob ya Elimu Mitaani.com, iliyotoka mnamo mwaka wa 2005. Wimbo ulitengenezwa na mtayarishaji mashuhuri wa muziki wa hip hop P Funk.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Sauti ya Gharama katika YouTube
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sauti ya Gharama kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |