Saul Adelman
Mandhari
Saul Joseph Adelman (alizaliwa 18 Novemba 1944) ni mwana astronomia katika idara ya Fizikia ya Citadel huko Charleston.
Adelman alipokea shahada yake ya fizikia katika Chuo Kikuu cha Maryland mwaka 1966 na PhD yake katika taasisi ya Teknolojia ya California mwaka 1972.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Saul Adelman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |