Sarah Ho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Salah Ho mnamo 2009

Sarah May Yee Ho (alizaliwa 28 Oktoba 1978) ni mwamuzi wa mpira wa miguu wa Australia. Amekuwa mwamuzi msaidizi katika mashindano ya ligi za W-League na A-League . [1]

Alikuwa mwamuzi katika mashindano ya kombe la Dunia la FIFA la wanawake chini ya miaka 19 mwaka 2004, kombe la Dunia la FIFA la wanawake chini ya miaka 20 mwaka 2006 na kombe la Dunia la FIFA la wanawake mwaka 2007.[2] Pia alika mwamuzi msaidizi kwenye mechi za ufunguzi wa kombe la Dunia la FIFA la wanawake mwaka 2011.[3]

Aliteuliwa kuwa mwamuzi msaidizi wa kombe la Dunia la FIFA la wanawake mwaka 2015. [4] Pia mwalimu katika shule ya upili ya wasichana ya Blacktown .

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Referee Profile. A-League. Iliwekwa mnamo 23 January 2009.
  2. Referee Profile. FIFA. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-02-12. Iliwekwa mnamo 2023-04-05.
  3. Ante Juric. FFA Home. Football Federation Australia. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-10-11. Iliwekwa mnamo 2023-04-05.
  4. Referee Appointments for the 2015 Women's World Cup. FIFA. Jalada kutoka ya awali juu ya 31 March 2015. Iliwekwa mnamo 1 April 2015.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sarah Ho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.