Sans Commentaire
Mandhari
Sans Commentaire | ||
---|---|---|
Studio album ya Madilu System | ||
Imetolewa | 1994 | |
Aina | Soukous | |
Urefu | 56 | |
Lebo | Studio Harry Son | |
Mtayarishaji | Ibrahima Sylla |
Sans Commentaire ni jina la kutaja albamu ya mwimbaji wa muziki wa dansi kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maarufu kama Madilu System. Albamu imetoka mwaka wa 1994. Utayarishaji wa albamu hii ulifanyika nchini Ufaransa katika studio ya Studio Harry Son. Ndani yake, amepata usaidizi mkubwa wa sauti za uitikiaji kutoka kwa wasanii wengine ikiwa ni pamoja na Niawou, Ballou Canta, Carlito, Djeffard Lukombo, Nyboma Mwa Dido na Shimita.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]Wimbo Na. | Jina la wimbo | Dakika |
---|---|---|
1 | Ya Jean | 7:00 |
2 | Pie Mboyo | 6:16 |
3 | Autoroute | 5:56 |
4 | Biya | 7:31 |
5 | Apula | 6:02 |
6 | Blessure D'Amour | 5:42 |
7 | Paradiso | 57:57 |
8 | Nzele | 7:00 |
9 | La Fleur Du Ciel | 5:52 |
10 | Beau Souvenir | 5:59 |
Kikosi kazi
[hariri | hariri chanzo]- Sauti itikizi – Niawou, Ballou Canta, Carlito, Djeffard Lukombo, Nyboma Mwa Dido, Shimita, Tete Kitoko (nyimbo: 6), Wuta Mayi
- Gitaa la besi – Ngouma Lokito, Pablo Lubadika (wimbo wa: 1, 8)
- Mpangiliaji dramu, vinanda – Manou Lima
- Dramsi – Michel Lorentz
- Mhandisi – Mark Haliday
- Gitaa kuu – Dally Kimoko (nyimbo: 5 hadi 7, 9, 10 ), Popolipo Zero Faute (nyimbo: 2, 4)
- Gitaa kiongozi, imepangwa na – Syran M'Benza (nyimbo: 1, 8)
- Waimbaji wakauu, uitikiaji – Madilu System
- Imechanganywa na – Pierre Braner
- Mchanganyaji msaidizi – Xavier Delbos
- Usaidizi wa kimuziki – Ballou Canta
- Tumba – Nody Mataba (nyimbo: 1, 8)
- Mtayarishaji – Ibrahima Sylla
- Mtayarishaji msaidizi – Djiba
- Rizim-gitaa – Rogo Bamundele (nyimbo: 1, 8)
- Rizim-gitaa, limepangwa na – Lokassa Ya Mbongo
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Sans Commentaire katika wavuti ya Discogs